🎧 AirPods Pro (1st Gen) – Sauti Safi, Teknolojia ya Juu!
Furahia muziki kwa ubora wa hali ya juu ukiwa na AirPods Pro ya kizazi cha kwanza, zenye teknolojia ya Active Noise Cancellation, Transparency Mode, na fit ya silicone inayokaa vizuri masikioni.
✅ Sifa Kuu:
🔇 Active Noise Cancellation – Inazuia kelele za mazingira.
🔊 Transparency Mode – Unasikia mazingira bila kutoa earphones.
🎤 Inbuilt Mic + Touch Control – Pokea simu na udhibiti muziki kirahisi.
🔋 Battery life hadi masaa 4.5 ya kusikiliza bila kuchaji.
📱 Compatible na iPhone, Android, iPad, Laptop n.k.
💼 Inakuja na charging case ya wireless.