TIFER Wireless Earbuds – Ubora wa Sauti na Muonekano wa Kifahari!
Sikiliza muziki wako kwa ubora wa hali ya juu ukiwa na TIFER Earbuds, zenye muundo wa kuvutia na teknolojia ya kisasa ya Bluetooth.
✅ Sifa Kuu:
🔊 Sauti safi yenye bass ya nguvu
🔋 Charging case ya kudumu – inachaji earbuds zako mara kadhaa
🎙️ Mic iliyojengwa ndani kwa simu na voice commands
📱 Inafanya kazi na Android, iPhone, Laptop n.k.
🔗 Muunganisho wa haraka kupitia Bluetooth
🪶 Muundo mwepesi unaokaa vizuri masikioni bila kuumiza