🔊 Xdobo X8 Max – Spika ya Bluetooth 100W Yenye Sauti Kubwa na Bass
Tayari kwa party? Xdobo X8 Max ni spika ya nguvu ya Bluetooth yenye uwezo wa 100W na ubora wa sauti wa kipekee! Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, gym, outdoor, beach, na sehemu yoyote yenye vibes za ukweli!
✅ Sifa Kuu:
💥 100W Powerful Sound Output – Sauti kubwa yenye bass nzito, inatetemesha!
🔋 Battery Imara – Inadumu hadi masaa 15 ya kutumia bila kuchaji tena.
🔗 Bluetooth 5.0 – Muunganiko wa haraka na imara kwa vifaa vyako vyote.
🔁 TWS Technology – Unganisha spika mbili kwa sauti ya stereo ya kushangaza.
☔ IPX7 Waterproof – Imedumu, imetengenezwa kwa matumizi ya nje hata kwenye mvua au beach.
🎤 Inbuilt Mic – Pokea simu zako moja kwa moja kupitia spika bila kusogea!
🎛️ Bass & Treble Control – Rekebisha sauti unavyotaka – wewe ndiyo DJ!
🎁 Ndani ya Box:
Xdobo X8 Max 100W Speaker
USB Charging Cable
3.5mm Aux Cable
User Manual