All Category

Kenwood Electric Pressure Cooker 6.0L – Pika Haraka na Kisasa

In Stock (400)

TSh 130,000

TSh 160,000

Pressure cooker ya kisasa yenye uwezo wa 6.0L, inakuja na sufuria mbili na inapika haraka kwa ufanisi mkubwa.

Quantity:
In Stock (400)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Choka kupika kwa muda mrefu? 😮‍💨
Hii Kenwood Electric Pressure Cooker ni suluhisho la kisasa linalokurahisishia maisha jikoni 🔥

Ikiwa na uwezo mkubwa wa 6.0 Liters, unaweza kupika chakula cha familia nzima kwa haraka na bila stress.

⭐ Features Kuu:

✔️ Ujazo mkubwa – 6.0 Liters (inatosha familia nzima)
✔️ 1000W nguvu kubwa – inapika kwa haraka sana
✔️ Inakuja na sufuria 2 (2 pots) – flexibility ya kupika aina tofauti za vyakula
✔️ Digital control panel – rahisi kutumia
✔️ 10 in 1 functions – unaweza kupika vyakula mbalimbali kwa kifaa kimoja
✔️ Rangi ya Silver – design ya kisasa na ya kuvutia

🔥 Inafaa kwa:
Wali, Maharage, Supu
Nyama, Pilau, Wali wa nazi
Vyakula vya haraka bila kupoteza muda
💡 Kwa nini unahitaji hii?

Inaokoa muda, inaokoa gesi/umeme na inafanya upishi uwe rahisi zaidi kuliko kawaida.
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital
35 Products
Share:
Seller's Products