Boresha sauti ya TV yako kwa Skywood Soundbar SB06 yenye nguvu ya 150W. Inatoa sauti yenye nguvu na clarity nzuri kwa movie, mpira, gaming na muziki, huku design yake slim na ya kisasa ikikaa vizuri kwenye setup mbalimbali za TV.
(1)
Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi
