Soundcore Space One Pro Adaptive Noise Cancelling Headphones by Anker

In Stock (24)

TSh 370,000

TSh 420,000

Soundcore Space One Pro by Anker ni premium wireless over-ear headphones zenye Adaptive ANC 3.0, 4-Stage Noise Cancelling System, Triple-Composite Drivers, Hi-Res Audio, LDAC, Bluetooth 5.3 na super-foldable FlexiCurve design. Battery inadumu hadi 40H ukiwa na ANC na hadi 60H ANC ikiwa OFF, huku dakika 5 za kuchaji zikitoa hadi masaa 8 ya matumizi.

Quantity:
In Stock (24)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia muziki, movie, calls na safari kwa kiwango cha juu ukiwa na Soundcore Space One Pro. Headphones hizi zimeundwa kwa mtu anayehitaji noise cancelling yenye nguvu, sound yenye details nyingi na design inayokunjika kwa urahisi.

Teknolojia ya FlexiCurve™ inaruhusu headphones kukunjika na kupunguza ukubwa wake kwa takribani 50%, hivyo ni rahisi kubeba kwenye begi. Pia zina 4-Stage Noise Cancelling System pamoja na Adaptive ANC 3.0, inayofanya adjustments kwa wakati halisi kulingana na mazingira na namna headphones zilivyokaa kichwani.

Sifa Muhimu:

✅ Adaptive ANC 3.0
✅ 4-Stage Noise Cancelling System
✅ Super Foldable FlexiCurve™ Design
✅ Triple-Composite Drivers
✅ Hi-Res Audio
✅ LDAC Support
✅ Bluetooth 5.3
✅ SBC & AAC Audio Codecs
✅ Hadi 40 Hours – ANC ON
✅ Hadi 60 Hours – ANC OFF
✅ Fast Charging: Dakika 5 = hadi 8 Hours
✅ 4-Mic AI Call System
✅ Multipoint Connection
✅ HearID 2.0 Custom EQ
✅ Soundcore App Support
✅ Dolby Audio Support
✅ Pressure-Relieving Headband
✅ Soft Foam Earcups
✅ Uzito takribani 286.2g
Vilivyomo Kwenye Box

Soundcore Space One Pro Headphones, carry pouch, USB-C charging cable na 3.5mm AUX cable.
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

91 Products
Share:
Seller's Products