Soundcore Liberty 4 NC Adaptive Noise Cancelling Earbuds by Anker

In Stock (15)

TSh 270,000

TSh 300,000

Soundcore Liberty 4 NC by Anker ni premium true wireless earbuds zenye Adaptive ANC 2.0, 11mm Custom-Tuned Drivers, Hi-Res Wireless Audio, LDAC, Bluetooth 5.3 na 6 microphones zenye AI kwa calls zilizo clear. Battery yake inadumu hadi 10H kwa charge moja na hadi 50H pamoja na charging case.

Quantity:
In Stock (15)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia muziki, movie na calls kwa kiwango cha juu ukiwa na Soundcore Liberty 4 NC. Teknolojia ya Adaptive ANC 2.0 hujirekebisha kulingana na masikio yako pamoja na mazingira yanayokuzunguka ili kupunguza kelele na kukupa listening experience yenye utulivu zaidi.

Liberty 4 NC ina 11mm custom-tuned drivers, Hi-Res Wireless pamoja na LDAC, hivyo unaweza kupata sound yenye details nzuri, bass yenye nguvu na clarity ya kiwango cha juu kwenye vifaa vinavyotumia teknolojia hiyo.

Kupitia HearID 2.0, unaweza kubadilisha EQ na ku-personalize sound kulingana na mapendeleo yako. Pia ina Multipoint Connection, hivyo unaweza kuiunganisha na vifaa viwili kwa wakati mmoja na kubadilisha kati yao kwa urahisi.

Sifa Muhimu
✅ Adaptive ANC 2.0
✅ 11mm Custom-Tuned Drivers
✅ Hi-Res Wireless Audio
✅ LDAC Support
✅ HearID 2.0 Custom EQ
✅ Bluetooth 5.3
✅ Multipoint Connection
✅ 6 Microphones + AI Algorithm
✅ Hadi 10 Hours kwa charge moja
✅ Hadi 50 Hours Total Playtime pamoja na case
✅ Fast Charging: dakika 10 = hadi masaa 4
✅ IPX4 Water Resistance
✅ Touch Controls
✅ Uzito wa earbud takribani 5.2g
Inafaa Kwa

🎵 Muziki
🎬 Movies & Series
📞 Calls na online meetings
✈️ Safari
🏢 Ofisini
🎮 Matumizi ya kila siku
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

91 Products
Share:
Seller's Products