Remote ya kisasa yenye keyboard kamili nyuma inayokupa uwezo wa ku-type haraka na ku-control Smart TV, Android Box, Projector au PC kwa urahisi – no stress kabisa.
Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi