JBL Flip 6 Portable Bluetooth Speaker – 30W

In Stock (32)

TSh 300,000

TSh 350,000

Furahia muziki popote ukiwa na JBL Flip 6 Portable Bluetooth Speaker yenye 30W output, Bluetooth 5.1 na ulinzi wa IP67 dhidi ya maji na vumbi. Ina battery inayoweza kucheza muziki hadi saa 12, compact design na bass yenye nguvu kwa matumizi ya nyumbani, safari, beach na outdoor entertainment.

Size:
  • inch 32
Color:
Quantity:
In Stock (32)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
JBL Flip 6 ni portable Bluetooth speaker iliyoundwa kutoa sauti yenye nguvu kwenye body ndogo na rahisi kubeba.

Mfumo wake wa speaker una 20W RMS woofer pamoja na 10W RMS tweeter, jumla ya 30W output, kwa clarity nzuri na bass yenye nguvu. Pia ina dual passive radiators zinazosaidia kuongeza bass wakati wa kusikiliza muziki.

Kwa matumizi ya outdoor, Flip 6 ina kiwango cha IP67, hivyo imelindwa dhidi ya maji na vumbi. Battery yake inaweza kutoa hadi saa 12 za music playback, kutegemea volume na aina ya content, huku full charging ikichukua takribani saa 2.5.

Ina Bluetooth 5.1 kwa wireless connection pamoja na JBL PartyBoost, inayokuwezesha kuunganisha speakers nyingine zinazooana na PartyBoost kwa sound kubwa zaidi.

Sifa Kuu
🔊 Output Power: 30W
🔥 20W Woofer + 10W Tweeter
📶 Bluetooth 5.1
💦 IP67 Waterproof & Dustproof
🔋 Battery hadi saa 12
⚡ Charging Time: takribani saa 2.5
🔌 USB Type-C Charging
🎶 JBL PartyBoost Support
🧳 Compact & Portable
⚖️ Uzito: takribani 0.55 kg
📏 Dimensions: 17.8 × 6.8 × 7.2 cm
Rangi Zinazopatikana

Black • Red • Kijeshi/Camouflage • Blue

Product Details

Brand: JBL
Model: Flip 6
Product Type: Portable Bluetooth Speaker
Power: 30W
Bluetooth: Version 5.1
Water/Dust Resistance: IP67
Battery: Li-ion Polymer, 17.28Wh / equivalent 4800mAh
Playback: Hadi saa 12
Charging: USB Type-C
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

91 Products
Share:
Seller's Products