Ailyons 50" Smart TV yenye 4K Ultra HD inakupa picha kali na burudani ya kisasa. Ina WiFi, Netflix, YouTube, HDMI na USB, pamoja na A+ panel na tempered glass kwa uimara na ubora wa picha. Chaguo bora kwa movies, mpira na entertainment nyumbani. 📺✨
Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi