Solarmax Smart Frameless TV ni TV ya kisasa yenye muonekano wa frameless na picha kali ya HD. Ina Smart features zinazokuwezesha kutumia Netflix, YouTube na apps nyingine kwa urahisi. Inakuja na HDMI, USB na Digital TV iliyojengewa ndani.
Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi