All Category

TCL TV 40 Inch Android Smart LED – Screen Kubwa, Smart Features Zote! πŸ“ΊπŸ”₯

In Stock (100)

TSh 620,000

TSh 750,000

TCL TV 40 Inch Android Smart yenye screen kubwa, picha safi na apps kama YouTube na Netflix kwa burudani kamili nyumbani.

Quantity:
In Stock (100)
Guaranteed Safe Checkout
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Unataka TV yenye size kubwa kidogo lakini bado iwe smart na affordable?
TCL TV 40 Inch Android Smart LED ndiyo solution πŸ”₯

Inakuja na mfumo wa Android TV unaokupa access ya moja kwa moja kwenye:
βœ”οΈ YouTube
βœ”οΈ Netflix
βœ”οΈ Google Play Store
βœ”οΈ Apps nyingine nyingi

Screen yake ya 40 inch inakupa experience nzuri zaidi kwa:
⚽ Mpira
🎬 Movies
πŸ“Ί Series

Picha ni safi na sound nzuri kwa matumizi ya kila siku πŸ‘Œ

βš™οΈ FEATURES

βœ… Screen size: 40 inches
βœ… Android Smart TV
βœ… WiFi built-in
βœ… Google Play Store
βœ… HDMI & USB ports
βœ… Dolby Audio
βœ… Screen casting

πŸ’₯ KWANINI UNUNUE HII?

βœ”οΈ Size kubwa kuliko 32 – experience nzuri zaidi
βœ”οΈ Smart TV kamili
βœ”οΈ Rahisi kutumia (Android syst
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital
30 Products
Share:
Seller's Products